Tuesday, June 26, 2012

ASILIMIA KUBWA YA WANAFUNZI WAENDA KIDATO CHA TANO

Hatimae chamazi Islamic wazid kutikisa anga ya ufaulu na kuwezesha wanfuzi 20 kati 34 waliofanya mtihani kuchaguliwa kuendelea na kiadto cha 5.